ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #41
Safiii umefanya vizuri sio kila starehe ina mfaa mtu tafuta mbadala na uta enjoy tu hongera sana na kila la kheri usikengeukeNimeona siziwezi nashindwa kujicontrol kwenye maamuzi nikishalewa kuanzia pesa na mapenzi nishamludisha wife kwa talaka mara mbili ila now nipo nae nikaona gambe ndo mchawi kifupi mimi kichwa panzi kwenye gambe
NomaaMara uambiwe shemeji zima taa ,
😂😂😂
Na nusu ArifuNomaa
Pm kwako haipo 🤔Hajui kuwa hata mechi za kirafiki hakuna 😂💔
Kwa hiyo "Kizuri kula na nduguyo ' ni mtego na kauli ya kinafki ulikuwa unaninafikia brother?Yani madogo mnakula kwa mashemeji zenu halafu mkija hapa mnatukebehi mabraza zenu na kunyanyua mabega juu pumbavu kabisa
Cc mshamba_hachekwi
Walahi kaka zangu ni wa hovyoooo 💔Hivi hauna kaka ako huko jahazi linazama🥹😅💔
M-PM ShesRise_1Pm kwako haipo 🤔
😂😂Kwa hiyo "Kizuri kula na nduguyo ' ni mtego na kauli ya kinafki ulikuwa unaninafikia brother?
Hawafai hata kwa kwa mechi ya kirafiki💔🙌Walahi kama zangu ni wa hovyoooo 💔
Usiwe mkali mzee, ushemeji ni wajibu.Yani madogo mnakula kwa mashemeji zenu halafu mkija hapa mnatukebehi mabraza zenu na kunyanyua mabega juu pumbavu kabisa
Cc mshamba_hachekwi
Angalia mood yako isije kubadilikaNachek zangu mabingwa wa Gunners sijui watafanyeje jioni yangu iwe njema. Let me see
Washenzi wakubwa, ila mashallah wana upendooo utalelewa , shida ni umalayaaaaa mi kwa kweli wanaume wamenishinda.Hawafai hata kwa kwa mechi ya kirafiki💔🙌
Anataka nini huyu PM kwa watu kuna makufuri makubwaaa😅
Usisikitite kwa leo kwa ajiri yangu sawa kijana mdogo😊Inasikitisha sana
Na we umefunga? Nimemuahidi beer, si unajua walevi tunapendana sana?Anataka nini huyu PM kwa watu kuna makufuri makubwaaa😅
Nipe hivyo hivyo 😅😅😞Washenzi wakubwa, ila mashallah wana upendooo utalelewa , shida ni umalayaaaaa mi kwa kweli wanaume wamenishinda.
Me & you tuna roho nzuri tujisifie bana 😊 sasa wanaume wana alejiiiiiiiiiii na watu kama sisi wanapenda mabandinduuuuuuuShida yao nini? au ndio necha 😂
Poleee😊Imekaa vby maana cna ela na michongo ya kazi hamna