ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #161
Si ulikua na I'd ya Kanye westKutokuwa kwa jukwaa
Kila mtu kasikitishwa π₯ΉLakini pia kusikia habari mbaya juu ya member Joannah..
Pole ndiyo lifeLakini pia issue personal ambazo si vyema kuziweka bayana
Hahaha we mtoto bwana!Si ulikua na I'd ya Kanye west
Kila mtu kasikitishwa π₯Ή
Pole ndiyo life
Eeeh ulikua viwanja yesterday au?πhii siku ya leo naiona kama ijumaa vile,, yan wiki ndo imeanza ila nimechoka hatari
Usiniongeleshe kingereza nitakonda puliiizzHahaha we mtoto bwana!
Au tuseme I was just trying to make things work. Ila deep down I was regretful kutokuwa mimi
We si genius lakini?Usiniongeleshe kingereza nitakonda puliiizz
Nani kasema hayo?We si genius lakini?
Mimi nimesema.. (kufatilia kusema kwako wewe hupenda mada fikirishi)Nani kasema hayo?
Genius ni mtu gani?
Shukran sana mkuuππMimi nimesema.. (kufatilia kusema kwako wewe hupenda mada fikirishi)
Ni mtu anaye ona mambo kwa upana zaidi.. Ambaye uwezo wake wakuchakata vitu si wakaida.
WelcomeShukran sana mkuuππ
βοΈWelcome
Kuku katoroka bandaniπ πWeekend yangu ilibaki kidogo almanusura ila nitajaribu ijayo
Vishu upoHaijaenda sawa.
Kibunda sina
Kitoto cha buku bee kimenikataa eti nina saundi za kizee, haya yote sababu ni Poor Brain kunizoesha kutongoza mishangazi.
Yote kwa yote wikendi iishe tu.
Nimeokoka mimi tena kwa sasa uwezi amini swala tano mashaallah
Vishu unanisagia kunguni ujue ahahahahahPoor Brain hana wokovu wala upako wowote
Apostle kuna muujiza huku π€£π€£π€£ alooooNimeokoka mimi tena kwa sasa uwezi amini swala tano mashaallah
Nimeokoka mimi aiseee..Apostle kuna muujiza huku π€£π€£π€£ aloooo
Nilijua tu mpuuzi wewe π€£π€£Nimeokoka mimi aiseee..
Japo jana nimetoka fanya jambo la ajabu aiseeee leo nimeokoka