Weekend yako unaimalizia ukiwa wapi?

sakwano

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
303
Reaction score
830
Habari za mda huu wakuu,

Kama mada inavojieleza,nimejikuta tu niko kwenye fukwe za coco beach nikitafakari weekend inavoishaisha.

Wakuu hapa nilipo nashangashangaa (ke) zinazopita hakika kuna watoto wa kali mji huu.

Je, ni sehemu gani ya kijanja hapa town baada ya kufanya utalii wa ndani napaswa kwenda nikachomoe japo totozi kidogo ..wenyeji wa town tukaribishane wakuu tumalize weekend pamoja.
 
Niko hapa nasikiliza jeraha ya otile brown na jovial imeisha hiyo kesho tukutane kwenye ujenzi wa TAIFA kama kawaida
 
Nipo ndani toka asubuhi nimekaa na kulala na muda wote nawaza naweza kupata wapi ingizo jipya niunganishe nalo vikojoleo vyetu pendwa
 
Nipo hapa CCM -Iringa nadoea bia za watu na kitimoto.
 
Paris na mtoto mzuri wa kizanzibar... [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…