Nimecheka sanaHana akili huyu [emoji23][emoji23]
HayaNdio baby to be wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante shem nakupenda mimi unanipa moyo tuWeupe na weusi wote sawa tu shem
Wenye wivu hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wataanza mbona shunie mwenyewe ana sura ngumu atakuwa kafanana na baba akee
Kweli shemManeno hayaui shem
Kweli shemDaaaaaah
sawa shem
Wakienda kulalana sio tunaenda kunyweshanaEnheeeee. Tunywe tukalale wakati wengine wakienda kulalana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana nar hana akili huyu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kakosea sana kiume yake huyu.
Nashukuruje kukupata barbie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi umenipata tayari.
WoooooooooooooooooooooooooooiiiiiizeeeeeeeeeerrrTena ungefanya woooooooooooooooooooooiiiizeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer zidisha mara infinity .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wenye wivu hao
Kaaaaa bby hutak niwe karibu na dada yako?Nyoooookooo
Haina shida bby hata wakisema mweupe kama mawingu ya mvuaWatasema tu cheki mtu mwenyewe mweupe kama karatasi
AiseeeehEwaaaaaaaaa we ndio shemeji yangu bana
Had unajiua mimi nipo wapi muda huo. Labda ujinyonge usku wa mananeWeeeeee. Leo mood yangu nzuri sana nikichambwa naweza nikajiua [emoji23][emoji23][emoji23]
Akikujibu shemeji niiteKaaaaa bby hutak niwe karibu na dada yako?