DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Ebu fafanua hapo kwenye kumfanya baby wangu chakula.Nikisema mods hawanipendi huwa sikosei.
Yaaan huu uzi ulinipita mpaka leo ndo nmeuona ?? .
Mzigua90 nakuhapia sitakufa kama sijakukula kama chakula .
Nahaka kapicha nakaweka wallpaper yangu. Sitaki masiala.
Hapo sasa ndo umefikia at least rrobo ya namna hii picha ilivyonifanya ,na imenifanya kweli kweliWoooooooooooooooooooooooooooiiiiiizeeeeeeeeeerrr
Ndio kazi ya mwanaume kuhakikisha mpenziwe anakuwa kwenye mikono salama.Asante shem hatimaye tumepata mlinzi shem darling nakupenda mimi
MmmhUmesema ndevu nimekumbuka kitu ila namezea tu japo najua ushaelewa [emoji23][emoji23]
Asante shem kwa huo msamiatiNdio hivyo shem zamani yaliandikwa budege kabisa sasa hivi yamefutika
Hahahahahaha mkuuu baby wako umepata mweeeee ,ujue huyo mwanamke akiwa anapika chakula ,nilazima usemeEbu fafanua hapo kwenye kumfanya baby wangu chakula.
Hapana babyWe huna msimamo sikutaki
Mkono uliteleza wakat wa kutypeShem usijiharibie sasa
Sio moyo shemAsante shem nakupenda mimi unanipa moyo tu
Niko nawe kama radi mvuaAfadhali babe uwe team yetu