DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Nasubiri mrejesho wake.Akikujibu shemeji niite
Niende wap babyTokaa hapa
Umeshawahi kutekwa ?Hahahahahaha mkuuu baby wako umepata mweeeee ,ujue huyo mwanamke akiwa anapika chakula ,nilazima useme
*Chakula kileee kinapikw chakula chenzake*
Baby Nyani Ngabu shemeji ako kuwa na amaniMmmh
Bas itapendezaNdio bby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini umuite hondo hondo mlezi wa wana?
Tujenge throne yetu bbySame here my King
Ondoa hofuNakupenda bby bora unitetee tu.
Utampata shem hivi we sio ben10 na mahela vipii shemeji unayo eenhAiseeeeh
Mdogo wako nampata kweli?
Nakubali kwa shngo upandeBaby Nyani Ngabu shemeji ako kuwa na amani
HapanaSikuelewi naona unamnyatia nyatia na ndugu yangu
Imekufanyaje kwaniHapo sasa ndo umefikia at least rrobo ya namna hii picha ilivyonifanya ,na imenifanya kweli kweli
Umeanza kumfatisha mzigua kucheka eee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaaaaa ndio mana nakupenda shemNdio kazi ya mwanaume kuhakikisha mpenziwe anakuwa kwenye mikono salama.
Naanzaje kuwa beni kumiUtampata shem hivi we sio ben10 na mahela vipii shemeji unayo eenh
Shemeji acha kugunaMmmh