Ningekua na uwezo ningemwomba Genie wish moja tu , akupe maisha marefu .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama wananionea wivu wapambane tu na hali zao me nawadharauuuuuuuu
Nimeogopa aysee usikute mashine yangu imeshadisappear.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa na iman kijanaOhoo basi ngoja nizime simu nilale mkuu.kugeuzwa mwanamke ni hatari tupu.yaani umeniogopesha imebidi nitoe mashine niiangalie kwanza kama ipo.ucku mwema woote
Khaaaaaaa JolieKuna nini?nitag palikoanzia na hii id mpya?
KhaaaaUsigune mkuu..huyu binti namfahamu vizuri na account yake nyingine naijua vizuri ..namdai hela
Sawa shemHapana shem uzi utaharibika unaweza hata fungwa
Yaan nawaza tu mtu anichambe au kunitukana nicheke nitaweza kweli niache kumpa na yeye yake ngoja nione itakavyokuwa niwaige kucheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenishtua sanaaa nguo zote nmefua hapa nmevaa boxa tu kifua wazi ,japo nakakifua ka mbu .Basi mekuelewa wanyumbani. Nakuja mitaa ya bamaga toka basi wakunyumba
Naona hawataki kusikiaBora umwambie bby
Sijapaona jaman palipoanzia[emoji23] af hii id ya leo leo naiona mara nying nying inadiss watuKhaaaaaaa Jolie
Ameen Putin [emoji120][emoji120] tuombe uzima tu hakuna kinachoshindikana chini ya juaNingekua na uwezo ningemwomba Genie wish moja tu , akupe maisha marefu .
Hata ktk your 80s nitakutafuts tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] bas freshMkuu mita 100 ni nyumbani. Maanake mita 200 niondoke nyumba kabisa? ?
TunakugombanishaJamani nampenda bae wangu msinigombanishe na baby
Kwann usimfungulie uzi mpya. Huu uzi wa bby unau spoilTuache kabisa..huyu mwanamke ni wangu na nitakomaa nae mpaka mwisho..anilipe pesa yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo mambo za maandamano mods hawataki zisikiaNaona hawataki kusikia
Ngoja nkawashitak kwamba wanahamasisha maandamano mtandaoni labda wataelewa.