Makaburini wapiHapa makaburini hazard
Mmalizanaje etiZipo kama kawaida ni wewe kuniambia ni lini utakuwa na muda tumalizane kabisa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nini finca?hujakopeshwa na bayport wewe
Mwaka gani?Bby mi nimesoma IFM afu nilikua mjanja balaa.
Shemeji nimehisi tu sasa shemeji ungeandika tu kiswahili jamani[emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]
Atakupeleka ukauone.Sijaona jamani. Huyu ndo official bae wangu humu.
Hakuna zaidi yangu kwakweliBabe si kweli hivi uniache atanikula nani mie na uhenga huu
[emoji12] [emoji12] white umewaza mbali wewe....Mmalizanaje eti
Iende tu vizuri babe nipo kwa ajili yako kibonge me cheusi mangalaKwakweli kwa hii kauli yako unaifanya weekend yangu iende vizuri
Bwana orodha ndio nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaaaani bas ni bwana orodha
Mh mkuu unasemaHivi Shunie Avator zako zinaendana na Wewe jinsi ulivyo [emoji41]?
Mwaka gani? Hata mimi nimesoma computer science paleBby mi nimesoma IFM afu nilikua mjanja balaa.
Kajiunga leo leo na ban leo leo,itabid saiv mods waangalie namna nyingine ya kudhibiti hilimara tu taaaar kashakula ban kwel nimeona nguvu ya umma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaa kuanza kutafsiri nao mtihan shem.Shemeji nimehisi tu sasa shemeji ungeandika tu kiswahili jamani
Ataibuka tena hachelewiKeshakula ban. Akafe mbele huko
Mkuu huu utani wako ndio ule wa 50/50 au mguu nje mguu ndani, yani akijaa fresh akizingua fresh pia[emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]
Natania tu mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy zakoHahaha wamesema bibi angu ananisubiri huku eti