Weekend

Hapo ni kama umekaa tu kwenye pikipiki ,mwanamke yeyote akikaa kwenye pikipiki lazima awe na hips

Onyo subiri ashuke ndio utie sound zako usije sema hukuambiwa

Teh teh natania tu wajameni
 
Nauliza swali tu...

Hivi unarangi mbili au...

Rangi ya cheusi maangara...
Na
Rangii hii ya mtume...

Ipi rangi yako halisi?


Cc: mahondaw
Mi mwenyewe sina uhakika na rangi yangu. Ila sio mangala. Wala sio mweupe sana. Wanasemaga maji ya kunde
 
Ukiwa hicho kiti unakulaje mzigo ? Ukiwa kiti atakuja kukaa shoga pia juu yako ...hivyo acheni kutamani kuwa vitu vya ajabu
wewe Jamaa bwana ..huelewi maana ya chit chat au ...yaani mpka matani wayachukulia serious au ...una hang over ya bangi uliyovuta usiku wa Jana mpka leo haijakutoka...yaani ilimradi ukosoe hata visivyo hitaji kukosolewa ..kazi kweli kweli ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…