Kwakweli anipe mahela tu anaweza ninunulia kitu sijakipenda[emoji23]
Nawe lako anakulindia nani eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hunilindi unataka niibwe we mwanaume umenishindaHalina ulinzi siulisema niwe na moyo mgumu tu
Naomba usitokeHome bado na nishalewa jamani
Hahaha. Huyo ni rafiki yangu so usiwe na wasiwasi hakuna kitakachoharibikaMkuu
Umeanza kuzoa wake za watu ?
Mie nimefunga kulana kwa mwezi huu mzima mpaka Pasaka ipite so utakuwa kwenye safe handsHahahahaaa. Sitaki utanikula. Huku ndani kuna mtu mmoja tu ndo najua niko nae safe nikizima
Kweli abaki huko huko...Naomba usitoke
Abaki tuKweli abaki huko huko...
Hasikiagi[emoji23] [emoji23] [emoji23] soon utaona picha yupo tipsAbaki tu
Nkikupa helaShemeji nipe mahela nitanunua mwenyewe
Hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hunilindi unataka niibwe we mwanaume umenishinda
Acha niibwe tu hakuna namna jamaniHahah
Sawa shemNkikupa hela
Utasahau kama niliwahi kukupa zawad.
Nitakupa vyote shem
SawaNajiona kutoka kabisaaa
HayaNtakwambia
EeeehNakuona unalinda koloni lako