Vizuri kusikia shemeji. Shushia kamvinyo cha kupumzikia huku ukijiandaa na ibada ya kesho.Shemeji me niko poa kabisa.
Weekend iko poa, nimepumzika.
Hahahaa
Sawa shemeji, wacha nifanye hivyoVizuri kusikia shemeji. Shushia kamvinyo cha kupumzikia huku ukijiandaa na ibada ya kesho.
Nimeshangaa hadi Ninao waamini naona nao wameanza matusi humuAcha tu
Pole na majukumu maana nilikuquote muda kidogo then umekuja Kwa kuchelewaUnasemaje Jirani...
[emoji38]hunaga dogoPambana na mamaJ [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Ahsante Jirani, sii unajuaga vile ratiba zangu zilivyo...Pole na majukumu maana nilikuquote muda kidogo then umekuja Kwa kuchelewa
Oo sawa,uwe na siku njema jiraniAhsante Jirani, sii unajuaga vile ratiba zangu zilivyo...
Ila weekend ipo njema kabisa...
Siku zangu zote hua njema Jirani...Oo sawa,uwe na siku njema jirani
๐Siku zangu zote hua njema Jirani...
Inapendeza kama weekend yako ipo vizuri mdogo wangu...Weekend yangu iko vyedi sana kakanguu kipenzeeee๐๐ค๐ค!
Sema nini nimemiss kituuuuu jamaneee!!๐!
Wigelekelo ulinifikishia ujumbe wangu kwahuyuu mtru kweli???
Vitru vingi sana unavijuaaaaaa!!!Inapendeza kama weekend yako ipo vizuri mdogo wangu...
Ume miss kitu gani?
Nikumbushe hivyo unavyohisi navijua mdogo wangu...Vitru vingi sana unavijuaaaaaa!!!
Acha mambo yako kakalakeee unavijuaaaaaa vizuri mnooo! Kwamba ndio ushazeeka marahii umepoteza kumbukumbu๐ค๐ค??Nikumbushe hivyo unavyohisi navijua mdogo wangu...
Mambo mengi muda mchache mdogo wangu...Acha mambo yako kakalakeee unavijuaaaaaa vizuri mnooo! Kwamba ndio ushazeeka umepoteza kumbukumbu๐ค๐ค??