Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,158
- 1,688
Hivi hii kazi unasubmit viip maombi?Mambo ni mengi
Hivi hii kazi unasubmit viip maombi?
ShukraniTangazo Lina anuani ya kutuma nahisi unatuma kwa njia ya ems posta
Inawezekana nitume kesho asubuhi siku ambayo ndio deadline?Tangazo Lina anuani ya kutuma nahisi unatuma kwa njia ya ems posta
Kk nimepigiwa cmu kwa ajili ya interview huko tanroad mwanza Leo japo Ni position ya operatorInterview lini?au bado wanachambua karatasi