Weightloss Journey

Weightloss Journey

Juandeglo

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
1,040
Reaction score
2,806
Hello rafiki. Uzito uliokithiri umekua challenge katika kizazi chetu cha leo. Kumekuwa na njia mbalimbali za kupunguza uzito zingine kwa fad diets na zingine za long term plans.

Mojawapo ya njia mashuhuri ambayo imetamba hivi karibuni inaitwa intermittent fasting (IF), ambayo ni kula na kuacha kula kwa masaa kadhaa. IF ziko za aina nyingi ila ntazitaja baadhi.

Kuna moja ya 16/8 ambayo mtu unatakiwa kula ndani ya masaa nane na kuacha kula ndani ya masaa 16 kwa siku. Chakula hicho kinatakiwa kiwe cha afya tafadhali. Pia ni muhimu kuzingatia wingi wa chakula au portion.
Kuna nyingine ya 18/6, 20/4, na 23/1 zote hizo ni kula na kuacha kula kwa masaa yaliyo mengi zaidi.

Leo nitaongelea hii ya 23/1 ambayo inaitwa One Meal A Day. Hii inahusu kula ndani ya lisaa limoja na kuacha kula ndani ya masaa 23. Hivyo kwa siku moja unakula mara moja. Ni njia mojawapo nzuri sana ya kupunguza uzito uliokithiri lakini pia ina faida nyingi ikiwemo clear mind, improving attitude, raising self esteem na kadhalika.

Yeyote atakaependa kujiunga hapa ili tuifanye pamoja lengo likiwa kuitengeneza miili yetu kwa faida zetu na wanaotutegemea. Tutakuwa tunaupdate wapi tumefika kila baada ya mwezi mmoja ili kuinspire wengine. Kwa maoni na ushauri mnakaribishwa tuelezane.

Come one come all. Welcome

29 june: 108kgz
31 july: 103.5kgz
 
Hii inahusu kula ndani ya lisaa limoja na kuacha kula ndani ya masaa 23. Hivyo kwa siku moja unakula mara moja. Ni njia mojawapo nzuri sana ya kupunguza uzito uliokithiri lakini pia ina faida nyingi ikiwemo clear mind, improving attitude, raising self esteem na kadhalika.
Inategemea unakulaje.

Kuna watu wanakula mara tatu lakini kila mlo wanakkula robo ya chakula,hivyo mila mitatu ni nusu na robo au robo tatu.

Kuna mtu atakula mlo mmoja lakini atapiga kilo moja nzima manake huyu mlo mmoja wake haumsaidii kitu.

Hio njia sio fanisi kwa sababu kama unataka kupungua milele basi unatakiwa uchague njia ambayo unaweza kudumu nayo milele.

Hakuna mtu ataweza kula 1hr kisha masaa 23 afunge hakuna mtu huyo.

Hivyo utafanya kwa muda na utaacha,na hivyo hivyo unene utaondoka kwa muda na ukirudi kwenye maisha ya kawaida unene utarudi.

Kama utaweza isooookeeee

Cha kufanya kwanza unatakiwa ufuate formula MOJA TU.

FORMULA NI MOJA TU

NI MOJA TU

NI MOJA TU.

.nayo ni KULA UNAPOJISIKIA NJAA NA USILE UKAJAZA TUMBO,KULA KIASI TU.

ukijisikia njaa mara 10 kwa siku basi kula mara kumi.

Ukijisikia njaa mara moja kwa siku basi kula mara moja tu.

Kama hujisikii njaa basi usile au kunywa zako maji au juisi kwa kujiburidisha tu.

Na hii pia hakikisha unaifata maisha yako yote.
 
Exactly na ndo maana nikasema panahitaji discipline katika body maintenance. Mpaka mtu kuianza hii lifestyle ameona enough is enough. Hata kula unaposikia njaa started somewhere so hata OMAD pia inaanza somewhere i mean right now right here.

Anayeweza ajikane nafsi aanze haya maisha ni mazuri mno. Siadvertise faida wala hasara utajionea mwenyewe lakini noting is impossible chini ya jua. Wewe kama una lifestyle hiyo well and good mwenye kutaka kuanza hii lifestyle be my guest wapendwa its possible.
#everybodyisdifferent#
 
Wengine hata wale nini hawafikii ule mwili wa kuitwa bonge
 
Laiti tungekua tunajua kupunuza mwili ilivyo kazi tungepambana sana kujitunza tusinenepe kupitiliza
Nilikua 55 nkafika 100 sasa nimetoka 100 hadi 65 [emoji123]

Bila kutumia madawa au hizo wanazoita suppliments
100 hadi 65? Hongera sana.
Ni ndani ya muda gani?
 
Hawajala vizuri aisee.
Mimi nilikuwa mwembamba. Watu wanaogopa kula viepe watapata vitambi ila mimi nilikuwa nakula kila siku hamna kitambi.
Siku nimekuja kufumuka. Kila ninayekutana naye anasema "hakika hamna mtu mwembamba".
Inawezekana
Lakini mie nakula kila kitu,japo sili kila muda.... lakini sijawahi kufikia ukibonge wala kitambi

Labda inawezekana huko mbeleni na mie nikaja kujishangaa
 
Njia bora ninayoina ni kufanya Banting - kuna

Facebook group hasa za wa South Africa/ pia unaweza pitia YouTube kwa kusearch Banting ni njni?

Simshauri mtu kushinda njaa kwaajili ya kupunguza uzito...!! Hii haitafanya kazi in the long term ,bali badilisha mfumo wako wa maisha hasa kwenye vyakula unavyokula.

Mfano Banting wana aina ya vyakula vipo kwenye groups ambavyo unapaswa kula ilikuspeed up process ya kupunguza uzito na sio kushinda njaa !!.

Sipo deep sana kwenye hilo ila unaweza fanya research mwenyewe kwa YouTube na hio facebook group ina members wengi wanaotoa ushuhuda kwa kupunguza uzito japo kuwa wanakula milo mitatu kamili na kushiba kabisa!!

Kwenye Banting mfano vyakula vya carbohydrates hawali kabisa labda vyenye low carbs.

Wanakula zaidi protein na healthy fat na
Fiber na vitamin basi

Aslimia kubwa hjku bongo asbh hadijioni ni wanga tu tunakula hii inapelekea ongezeka la sukari mwilini kutokana na ufanyaji kazi wa insulin hence .. mwili kuongezeka uzito..
 
Sante kwa suggestion

Haya ni maoni yako nayaheshimu. Lakini lengo la kuandika uzi huu ni kwa ajili ya kuinform watu kama wanaweza wakabadilisha lifestyle na kuanza kufanya OMAD.

Narudia OMAD is a lifestyle na sio diet. Ukiifanya kama diet be sure utarudi kulekule baada ya kumaliza diet yako. Lakini ikiwa ni mtindo wa maisha itakusaidia kupunguza gharama ya chakula meaning kusave hela na pia kuna benefits nyingi ziko katika websites mbalinbali.

Sijamlimit mtu kama unaweza fanya hiyo bant sijui what well and good. Lengo ni lets all do something for the goodness of our bodies and sound mind..
 
Vyema mkuu!! Shukrani kwa taarifa
 
Vipi water therapy? Inasaidia? Nimesikia kuna hiyo water therapy ambayo unaweza kupanga katika mwezi mmoja, unaweza kunywa maji au liquids pekee yake kwa siku tatu hivi, bila kula solids. Hii inasaidia kupunguza unene na kuondoa taxins mwilini. Kuna aliyewahi fanya hii? Is it working? Nataka kupunguza uzito kiasi in about a month time niweze pendeza kwenye harusi ya rafiki yangu. Nina kitambi ambacho sipendi kabisa
 
Good question.

Kiuhalisi sinaga ujuzi sana na short term weightloss methods kwa sababu binafsi naonaga kama haziko sustainable. Sasa kuna wajuzi wa shortterm mitandaoni unaweza waconsult.

Lakini pia kuna moja inaitwa keto diet ambayo unaacha wanga completely no carbs kabisa. Ukisearch google utajua vyakula ambavyo ni keto.

I suggest hiyo for short term na unaweza ukawa unafanya na mazoezi hata ni walking pia. Naamini atleast itakusaidia kwa muda mfupi. Ifanyie research uilewe vizuri.
 
Laiti tungekua tunajua kupunuza mwili ilivyo kazi tungepambana sana kujitunza tusinenepe kupitiliza
Nilikua 55 nkafika 100 sasa nimetoka 100 hadi 65 [emoji123]

Bila kutumia madawa au hizo wanazoita suppliments
C mbaya ukaiwakilisha hapa... utasaidia
 
Back
Top Bottom