Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Unahisi Captain John Bocco alikuwa anamwambia nini boss kubwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😱😁😁😂Yaani sina la kukwambia boss labda niwe kipa kwa sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hii ndio Jamii forumKanj:alaf wewe Bogo gwanini unakosa sana magoi unashida gadi?
Boco:miguu blaza miguu mizito nahisi nimerogwa boss,mimi sio wakukosa magoli mimi na kipa.
🤣🤣Kanj:alaf wewe Bogo gwanini unakosa sana magoi unashida gadi?
Boco:miguu blaza miguu mizito nahisi nimerogwa boss,mimi sio wakukosa magoli mimi na kipa.
Boss tangu umemwachia Try tomorrow njaa imezidi, tunashindia mlo mmoja. Huyu dada barabara ni bahili haijawahi kutokea akipika chakula finyango moja tunagawana watu saba. Si unaona afya zetu zilivyoporomoka? Hata bi EFUE kosa analotuhumiwa nalo ni kuyokana na kutoroka kwenda kuomba ukoko kwa mama ntilie maana haka ka dada kanatupimia chakula kidogo sana
We jamaa🤣Boss sorry nilidanganya umri naomba nipewe pension nikae pembeni.