Weka caption yako hapa

Kanj:alaf wewe Bogo gwanini unakosa sana magoi unashida gadi?

Boco:miguu blaza miguu mizito nahisi nimerogwa boss,mimi sio wakukosa magoli mimi na kipa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hii ndio Jamii forum
 
Bosi Moo tuko chini ya miguu yako! Kamwe usiache kutudhamini. Tutakufa njaa kama enzi zile! Chonde chonde baba! 🙏

Usisikilize kelele za akina Scars, GENTAMYCINE na mashabiki wengine wa JF! Wale ni wachonga ngenga tu.....!!
 
Unahisi Captain John Bocco alikuwa anamwambia nini boss kubwa?

View attachment 2114772
Boss tangu umemwachia Try tomorrow njaa imezidi, tunashindia mlo mmoja. Huyu dada barabara ni bahili haijawahi kutokea akipika chakula finyango moja tunagawana watu saba. Si unaona afya zetu zilivyoporomoka? Hata bi EFUE kosa analotuhumiwa nalo ni kuyokana na kutoroka kwenda kuomba ukoko kwa mama ntilie maana haka ka dada kanatupimia chakula kidogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…