Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wapo wanaoona Bongo Movie wanakosea, wapo wanaoona Bongo Movie wanapatia kwenye kutengeneza kazi zao za sanaa. Weka maoni yako hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀Ninachopenda hakuna kabisa,Afadhali zamani nilipenda lakini Tasnia imevamiwa na watu wasiobuni vitu vipya,
Unakuta mtu ameact kama kipofu punde tu anasema kua nimeona wajukuu zangu sijui amewaona na nini wakati ni kipofu.
Mtu kasuka nywele za aina moja huku mchezo unaonyesha kazeeka tayari sijui nywele zake hazichakai..