Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
ππππNinachopenda hakuna kabisa,Afadhali zamani nilipenda lakini Tasnia imevamiwa na watu wasiobuni vitu vipya,
Unakuta mtu ameact kama kipofu punde tu anasema kua nimeona wajukuu zangu sijui amewaona na nini wakati ni kipofu.
Mtu kasuka nywele za aina moja huku mchezo unaonyesha kazeeka tayari sijui nywele zake hazichakai..