Weka hapa tukio lililokushangaza kwenye derby ya Kariakoo

Weka hapa tukio lililokushangaza kwenye derby ya Kariakoo

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Tabuleeeeeeee

Binafsi tukio la ajabu nililolishuhudia ni MIKIMBIO YA MGENI RASMI pamoja na maajabu ya OBJECTIVE FOOTBALL

Twende kazi.
 
Hamsa [emoji113]

Mnara bila mkongo umesoma Kwa makolo
 
Tukio lilinishangaza ni Beki wa Yanga kumkumbatia Inonga kwa nyuma....
 
Back
Top Bottom