WEKA HAPA UWONGO WA SIKUKU YA WAJINGA 01/04/2018

WEKA HAPA UWONGO WA SIKUKU YA WAJINGA 01/04/2018

Lee Swagger

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
1,063
Reaction score
1,815
Tupia hapa uwongo wa kumwambia umpendae / rafiki sikuku ya wajinga tarehe 1/04/2018. Ili nasi tuweze ku fowadiii.
 
Nawakumbusha tu Jamani kesho tarehe 01/04/2018 ni sikukuu ya wajinga kwahiyo tukiambiwa kesho ni Pasaka tusikubali kabisaaa [emoji3][emoji3]
 
Rais Dr John Pombe Magufuli ameruhusu mahabusu wote wa Segerea kulia Pasaka majumbani mwao
 
Back
Top Bottom