Weka In Case Of Emergency (ICE) kwenye simu yako ya mkononi endapo utapata tatizo wasamaria wema waweze kuwasiliana na watu wako wa karibu

Ni muhimu sana kuweka ICE contacts (In case Of Emergency).

Mimi simu yangu nimeweka hii kwa sasa ni zaidi ya miaka 5.

Lakini kikubwa hili somo watu wengi hawana. Maana hata unaweza kuweka ICE contacts lakini watu wasijue kusearch au kuitumia.

Uzuri wa ICE contacts simu inapiga hata kama iko locked chamsingi uwe na credit tu.
 
No inabidi pia tuelimishane kwenye hili... Usipigiwe nimepata tatizo na hapo hapo ukaombwa kutuma pesa nawe ukafanya hivyo.. MUHIMU KUJIRIDHISHA KWANZA
Lakini uombe simu yako isiibiwe na iangukie kwa matapeli. Watatumia hiyo namba kikamilifu kwa njia wanazojua zitawanufaisha.
 
Yeah.. Lakini ikiibiwa pia inaweza kutumiwa na watu wabaya.. Muhimu ni vema ndugu jamaa naarafiki kutochukua maamuzi ya kukurupuka
Ooh, ni nzuri hii na je mfano nikapatwa na tatizo (unconscious) je walio karibu wataweza kuwapigia ndugu zangu niliowaweka Kwa hiyo ICE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…