Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
wana michezo gani km hutajaliFeza International Sport Academy iko Salasala Dsm
Pale apart from soccer,wana michezo gani km hutajali
Na sasa wanazo kila mkoa kupitia mikataba na academy walizoingia nazoAzam academy
Nadhani hakuna ukomo wa umri, mfano kule ulaya kuna mashindano ya timu za vijana hadi U23 ambayo huwa kuna wachezaji wenye umri baadhi zaidi ya miaka 23.Hivi ili kuitwa academy, umri wa wachezaji unatakiwa usivuke miaka mingapi?
[emoji120][emoji120]Pale apart from soccer,
Kuna.
Table Tennis
Swimming
Nadhani na Mziki pia.
kuanzia sasa utaitwa ngoja waje[emoji38]
upo sahihiNadhani hakuna ukomo wa umri, mfano kule ulaya kuna mashindano ya timu za vijana hadi U23 ambayo huwa kuna wachezaji wenye umri baadhi zaidi ya miaka 23.
Kuna wachezaji huwa akiumia au kushuka kiwango bila kujalisha umri huwa anashushwa kwenye timu za vijana.
NB. Kuna umri ukiufikia kama hauna kiwango kinachoeleweka huwa unatimliwa ukafanye kazi nyingine, pia ikumbukwe ni 4% au pungufu ya hapo ya vijana waliopita kwenye academy huwa wanabahatika kuendelea mbele.