Black Opal JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 233 Reaction score 298 Aug 7, 2024 #1 Mko vyema wakuu? Kama kichwa kinavyosema. Weka kichekedho unachodhani hatujawahi kusikia watu tufe mbavu. Mi sina kipya, nasubiri kutoka kwenu🤣🤣🤣
Mko vyema wakuu? Kama kichwa kinavyosema. Weka kichekedho unachodhani hatujawahi kusikia watu tufe mbavu. Mi sina kipya, nasubiri kutoka kwenu🤣🤣🤣
Black Opal JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 233 Reaction score 298 Aug 7, 2024 Thread starter #2 Mko vyema wakuu? Kama kichwa kinavyosema. Weka kichekedho unachodhani hatujawahi kusikia watu tufe mbevu. Mi sina kipya, nasubiri kutoka kwenu🤣
Mko vyema wakuu? Kama kichwa kinavyosema. Weka kichekedho unachodhani hatujawahi kusikia watu tufe mbevu. Mi sina kipya, nasubiri kutoka kwenu🤣
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 8,853 Reaction score 19,587 Aug 7, 2024 #3 Ngoja wamalize kujieleza kwa wake zao kwanin wamechelewa kurudi,,,wanakuja kuweka.
Black Opal JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 233 Reaction score 298 Aug 7, 2024 Thread starter #4 Ms R said: Ngoja wamalize kujieleza kwa wake zao kwanin wamechelewa kurudi,,,wanakuja kuweka. Click to expand... 🤣🤣
Ms R said: Ngoja wamalize kujieleza kwa wake zao kwanin wamechelewa kurudi,,,wanakuja kuweka. Click to expand... 🤣🤣
James Hadley Chase JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 1,984 Reaction score 3,695 Aug 7, 2024 #5 Lala ukue
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Aug 7, 2024 #6 Uzi wa kifala
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Aug 7, 2024 #7 Kesho likizo ya siku moja tuu umeanza kusumbua watu, je ikifika likizo kubwa ya mwezi wa 12 itakuaje
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Aug 7, 2024 #8 Eti simu ya Haji Manara ina namba za waganga wengi kuliko ndugu zake.