Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
πππmatako juu juu ka breki ya ndege...
ulimi ka soksi ya refa...
kidevu ka kona ya biscuit
pua kama kama filimbi ya simbawanga (sumbawanga)...
vigimbi ka vichupa vya gongo...
mikono ka umebemendwa...
vidole kama ngubiti (pipi za kienyeji zitengenezwazo kwa sukari guru)...
TWENDE.. TWENDE
Matako ka chips kavu mbili...
nywele ka mkutano wa inzi
domo kama shabani ndomo (chizi maarufu moro kipindi hiko)
hiii mbona unaalia... (mmoja kapanic baada ya malani kumzidia)
hiii we vipi nani analia.. mwangali chogo ka madenge..
(wenzake wakimcheka) hahaha hilooo hiyo imespaya (imeexpire)
Ha ha ha ha ndiyo kipoje hicho?Kichwa kama mshale
Huuuuh hii Kali ukitaka kujua jiangile kwenye kiooSura kama unataka kupiga chafya