"Weka mate niteleze" inavyoeneza UKIMWI

"Weka mate niteleze" inavyoeneza UKIMWI

1. Hii kauli mbiu imemaliza vijana wengi Sana maeneo ya Vijijini na visiwa vya ziwa victoria ambako Kondom ni adimu Sana.

2. Kavu sio mpango
...Kumbe Hawawezi Kuweka Mate Kwenye Condom ?? [emoji848]
 
Unaweza uka BET hela coz utapata zingine,
But usijaribu ku BET maisha yako hata siku moja,

Usidanganyike na story za mitandaoni eti ''Mimi napiga kavu'' maisha ni yako,usi ishi kwa kufuata mkumbo wa mitandaoni,kila mtu yupo makini na Afya/Uhai wake.
 
Noma sana! Kondomu kitu kidogo sana na haihitaji uwe bilionea kununua, tatizo ikishasimama akili inapumbazika, unakuta demu mkali soft unaona isiwe shida unashindwa kuvaa Kinga.

Ukishamaliza shughuli ndiyo mashaka yanaanza, mara UTI. Unaanza kuombea kwamba wanaume wote aliotembea nao wasiwe na UKIMWI, demu mwenyewe Malaya of which idadi aliyopita nayo ni kubwa😂😂😂

Epuka ngono holela!
 
Back
Top Bottom