Weka misamiati inayotumiwa na watu wa usalama au majasusi wanapowasiliana au neno lolote linalotumiwa na usalama

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Tumia Uzi huu kufahamu maneno au misamiati au misemo inayotumiwa na watu wa usalama kuwasiliana mfano mbele ya MTU kuna MTU na nyuma ya MTU kuna MTU.

Masnit signit sponsor namba moja nk ongezea mengine
 
Tumia Uzi huu kufahamu maneno au misamiati au misemo inayotumiwa na watu wa usalama kuwasiliana mfano mbele ya MTU kuna MTU na nyuma ya MTU kuna MTU

Salute mkuu
 
hahahha unataka kuwa unayaongea mtaani wakuone nawe wa kitengo hahahahaha jamaa wamekunyoosha maana hayo maneno hqhahaha
 
Tumia Uzi huu kufahamu maneno au misamiati au misemo inayotumiwa na watu wa usalama kuwasiliana mfano mbele ya MTU kuna MTU na nyuma ya MTU kuna MTU
Masnit signit sponsor namba moja nk ongezea mengine
Maana zake je,mbona hujaweka
 
Back
Top Bottom