Weka misamiati inayotumiwa na watu wa usalama au majasusi wanapowasiliana au neno lolote linalotumiwa na usalama

asset
package
status
uelekeo...
angalia tusimpoteze machoni...
fuatilia hilo gari...
ndio ametoka nyumbani kwake....
leo yupo mwenyewe garini


ni kawaida kukuta wakitumia maneno hayo
 
Hizi Jargon huwezi zikuta, hapa.

Labda ukute kuna boya ame corrupt anatake aonekane ndio aanze kuongea.

By the way kwa kuwa ni rejesta za kule, utazikuta kule.

Ingia uone unacho taka kukiona.
 
Tumia Uzi huu kufahamu maneno au misamiati au misemo inayotumiwa na watu wa usalama kuwasiliana mfano mbele ya MTU kuna MTU na nyuma ya MTU kuna MTU
Masnit signit sponsor namba moja nk ongezea mengine
Propaganda nyeusi, kazi ya begi jeusi, operation nyeusi,yaya, bombe,chomwa,msafi/wasafi,ps/xbox controller,dead drop zpk nyngi mkuu.
Ni sawa na kudonoa vmaneno vya kichina wkt kichina hujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na rafiki wa usalama ukimsikia anaongea na rafiki yake huku akimtaja Zitto, Lissu au Mbowe in your presence tafadhali ondoka…..huyo jamaa atakuwa anakuuza. Kwao kuwataja Zitto Kabwe na wenzake refers to usaliti. Usishangae wakakuteka ama kukuua.
 
Tumia Uzi huu kufahamu maneno au misamiati au misemo inayotumiwa na watu wa usalama kuwasiliana mfano mbele ya MTU kuna MTU na nyuma ya MTU kuna MTU
Masnit signit sponsor namba moja nk ongezea mengine

-kibiti over
-coming coming king stone tangawizi cross
-wasio julikana no comment
-soma hiyoo
-sukuma ndanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…