Weka msamiati ulioibuka awamu iliyopita na maana zake

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Awamu iliyopita ya hayati Magufuli, imekuza kiswahili kwa kufukua lahaja, tungo,misamiati mipya na kufufua mikuukuu.

Ila cha ajabu mingine nilikuwa nafuata mikumbo tu bila kujali maana.

Karibu uelezee unaoufahamu

Chawa
Mataga
Tumbua
Shangazi
Shemasi
Kukatwa mkia
Beberu
Wanyonge
Bashite
:::::
:::::
 
Toa shemasi
 
vyuma vimekaza..
niretee bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…