Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Hili neno sijui hata kirefu chake kinaandikwaje na hata maana yake siijui kabisa...hii lugha ndo maana wengi inatushinda,yan kinachoandikwa ni tofauti kabisa na kitamkwavyo....hatari sana
Kirefu chake ni AM I NOT (kiswahili cha karibu ni AU SIYO) (Kwa mfano, I am a boy, ain't I? (Mimi ni mvulana, au siyo)
 
Hili si la kibaolojia, pseudo means false hypo - chini
Parathyroid - ni gland hii
-ism - kama kitendo

Issue kuiunganisha hapo kutoa neno moja.... [emoji23] [emoji23]

Nitarudi


According to my elementary biology and English + Kiswahili
Pseudopseudohypoparathyroidism



Msaada please![emoji53][emoji53][emoji53]

Sent using Unknown device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…