Kuna wakati members wangependa kuwasiliana moja kwa moja na wanao cordinate uchaguzi kwa upande wa CHADEMA lakini wanakosa namba / contacts.
Nashauri iwepo page itakayokuwa na details hizo, iwe rahisi mtu kuziona hizo contacts kwa urahisi zaidi.
Zipo zilizotolewa na wadau ktk moja ya posts humu, lakini zimeshafukiwa na posts nyingi hivyo access yake inakuwa ngumu.
Please do ze niidiful.
Note: Yuko mdau amepiga kura huko kivukoni na alikuwa na taarifa nyeti ... siju kama amepata wahusika ili awape hizo taarifa.
Wahusika naomba fuatilieni hiyo isse.
Asante