Weka Picha kali toka kwa simu yako

we jamaa niaje hapa ni mafinga eneo la jambeki hilo jengo ni makuti ambapo inabidi ifunguliwe samaki samaki hili ghorofa ni CRDB bank ungeupiga picha huo mti mkubwa ingeonekana powa sana nimekimiss kijiwe changu hicho chini kwenye mbao kwa yuda aiseeee[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
 
Nikweli!
Nilipita kushangaa makuti na Ibiza!, Karibu Arusha NDUGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…