mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Mimi binafsi napenda nyumba simple, mfano dar likiwa flat na likawekwa taa za urembo Huwa inatosha sana na wengine wanamini kwenye urembo ambao ni complex kama ni dar atakuwekea maua nk , weka tuone Picha y dar lako