M mwanyaluke JF-Expert Member Joined Jan 22, 2015 Posts 704 Reaction score 2,435 Jul 16, 2024 #1 Mimi binafsi napenda nyumba simple, mfano dar likiwa flat na likawekwa taa za urembo Huwa inatosha sana na wengine wanamini kwenye urembo ambao ni complex kama ni dar atakuwekea maua nk , weka tuone Picha y dar lako
Mimi binafsi napenda nyumba simple, mfano dar likiwa flat na likawekwa taa za urembo Huwa inatosha sana na wengine wanamini kwenye urembo ambao ni complex kama ni dar atakuwekea maua nk , weka tuone Picha y dar lako