Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Mkuu naomba unifunze namna gani naweza kutengeneza pesa online kwa kua freelencer
Ndugu being A Freelancer neans you sell your service for only short term contracts. Mimi sifanyi Online Business though I sometimes guide my clients using online digital platforms. Huwa zaidi naomba kazi za remote hata nje ya nchi nikipata nafanya nalipwa kulingana na mkataba baina yangu na mteja. Just learn how to develop TOR with your customers.
 
Kwa kuwasaidia piteni mkoa wa pwani na wilaya ya mkuranga (mkoa wa pwani ndo unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi sana) japo mostly ni vya wachina na wahindi lakini kwa kujishikiza sio mbaya jitahidi mfike physically mnaweza kubahatisha naamini katika viwanda 10 ukivitembelea huwez kosa hata kimoja... napendekeza kwenda physically maana hawana strong system ya ajira kama makampuni makubwa mfano TBL au TCC so ukienda physically ni rahisi ukajikuta umeeenda leo kesho umepata kazi.. nafasi ambazo ni preffered sana ni mechanical zote kuanzia welding,fittings, n.k electrical, quality control main kwnye laboratory field..,logistic, HR, environment and safety, operator wa forklift, wheel loder(kijiko), Excavator n.k pia dumper driver au tipper, store, accountat ,sales na machine operator (production machine).

Naamini itawasaidia.
 
Education -Bachelor of Science in Insurance and Risk management
Status -Jobseeker

Experience -Two Years

Skills-Costumer Service,Sales and Marketing,Time Management skills, Teamwork Skills
 
Habari za kutwa wakuu
Kwa wale wanaohitaji nafasi za kazi vitengo tofauti za kazi
Bamboo hotel Jambiani mfumbwi
Tutafanya usaili/interview kama ifuatavyo
-Jikoni siku ya
Jumanne tarehe 16 na Jumatano tarehe 17
Muda saa 09:00 asubuhi
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
Maintenance na Garden
Alhamisi tarehe 18
Muda saa 09:00 asubuhi
Karibuni sana[emoji1374]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…