Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Profession: Counseling psychologist
Experience : 5 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kimara. Dar
 
WAWEKA CV NADHANI KWENYE experience MNGEONGEZA NYAMA KIDOGO. KUSEMA TU "experience 4yrs" HAITOSHI. SEMA HIYO MIAKA MINNE ULIKUWA UNAFANYA SPECIFIC SHUGHULI ZIPI.

KAMA NI DEREVA USEME ULIKUWA UNAENDESHA SCHOOL BUS, MALORI YA MCHANGA, DALADALA, BUS ZA MKOANI, MALORI ETC ETC...
 
Status : INTERNSHIP/JOB SEEKER
Profession: CIVIL TECHNICIAN
Experience : FRESH GRADUATE
Education level : ORDINARY DIPLOMA IN CIVIL ENGINEERING
Age: 22 YEARS
Contact: 0677887740

SKILLS:
[emoji3502]Competent in preparation and design of Architectural and Structural drawings using ARCHICAD and AUTOCAD softwares.
[emoji3502]Preparation of Bill of Quantities (BOQ).
[emoji3502]Surveying
[emoji3502]Site supervising

Current Location : Dar Es Salaam.
Ready to work in any region.
 
Nawaombea Sana mpate hizo ajira japo mje kunipa kibarua na mimi... Kazi ninazoweza kufanya.. ni zile zinazoweza kufundishika... zinazohitaji akili kutulia (ubinifu) zinazohitaji mtu muaminifu. zisizojali muda ili mradi ni halali..
 
Proffesion: INDUSTRIAL METROLOGY AND STANDARDIZATION.

Status: Job seeker (fresh graduate)

Education level: Bachelor degree

Location: Dar es salaam ( Ila Nafika popote pale na kwa wakati wowote ule)


Ahsante ya connection ipo 500,000 cash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…