Weka sifa ya mke umtakae hapa.!

Hata sisi kabla hatujaoa tulijipangia hivyo hivyo muda ulipotimia tukajikuta tume(z)oa wanawake wengine kabisa!
Mambo ya moyo yaache hivyo hivyo no plan ya yupi mwenza wako !
 
Hata sisi kabla hatujaoa tulijipangia hivyo hivyo muda ulipotimia tukajikuta tume(z)oa wanawake wengine kabisa!
Mambo ya moyo yaache hivyo hivyo no plan ya yupi mwenza wako !
Kama nakuelewa vile mkuu
 
hii topic ingekua interesting,kama zingeunganishwa na ile ya sifa za wanaume wa dada wanazozitaka,afu sisi tunakuwa match maker,kwa kuwaambia Fulani anakufaa 😀🙂
 
Vigezo vyangu ni hivi vifuatavyo;
Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu
Mwenye huruma
Avumiliae kwenye shida na raha
Mwenye kujua wajibu wake
Apendae familia yetu
Mnyenyekevu
Mwenye tabia njema
Muelewa
Mkuu kwani bado hujaoa tu!

Halafu hiyo sifa ya kunyenyekewa itoe aisee, wewe si MUNGU hadi unyenyekewe.
 
hii topic ingekua interesting,kama zingeunganishwa na ile ya sifa za wanaume wa dada wanazozitaka,afu sisi tunakuwa match maker,kwa kuwaambia Fulani anakufaa 😀🙂
Hahaha eti tunamatch wanaofanana kwa sifa.
Ila kuna swali la kichochezi kidogo hapa
Naluhusiwa kuuliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…