Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Ccm watapigwa kama ngomaTaifa stars ana mchezo mgumu dhidi ya Morocco kuelekea kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2026 pale Marekani.
Ni mechi ya ugenini ambayo itapigwa saa 6:30 usiku.
Tabiri utabiri wako tuone nani atakuwa sahihi
4-0Taifa stars ana mchezo mgumu dhidi ya Morocco kuelekea kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2026 pale Marekani.
Ni mechi ya ugenini ambayo itapigwa saa 6:30 usiku.
Tabiri utabiri wako tuone nani atakuwa sahihi
Malaria itakuwa imekupanda kichwaniKwanza nimesikia yule beki wao kitasa Achraf Hakimi hatakuwepo kwenye mechi mojawapo dhidi yetu ana kadi za njano, tukishindwa kuitumia hiyo kama fursa walau hata ya kupata draw ya magoli, basi tusitegemee draw ya aina yoyote ile achilia mbali ushindi dhidi yao popote pale tutakapocheza nao
Imekupanda wewe ambaye unaona ni ajabu timu kubwa kufungwa au kutoa draw na timu ndogoMalaria itakuwa imekupanda kichwani
Bora yako wewe unamjua mpiraMorocco 1 Taifa Stars 2 FT.