Weka ujumbe katika picha hii

Weka ujumbe katika picha hii

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Picture%20098-1274361676.jpg
 
wanawake zetu wanahangaika lakini hawapati sapoti toka kwenye government. hata hivyo Mungu anawasaidia kusurvive. si unaona hapo wanalima uyoga..
 
mkuu iyo signature imenifanya na mimi niweke. hakika Mungu anastahili kuwabudiwa.

kwahabari ya picha hiii, selikali imewasahau wananchi wake pamoja na kwamba watu wanahangaika kutafuta maisha, lakini kutoka ni ngumu because the government haina policy ya kusapoti wananchi wake.
 
Matunda ya kazi ya marehemu Rashid Mfaume Kawawa, kuwafunza wanawake kilimo cha Uyoga!!
 
Back
Top Bottom