mkuu iyo signature imenifanya na mimi niweke. hakika Mungu anastahili kuwabudiwa.
kwahabari ya picha hiii, selikali imewasahau wananchi wake pamoja na kwamba watu wanahangaika kutafuta maisha, lakini kutoka ni ngumu because the government haina policy ya kusapoti wananchi wake.