Wakuu,
Najua tunamambo mengi yakujadili.
Lakini tuki-base nayo sana tutadata, mana nji hii kil aasubuh kuna jipya.
Uzi huu ni moto wa mabua,
(Short life thread)
Tujuzane tu ID za females inayokupagawisha hapa JF.
Lengo kuona 'Je , kitu unachodhani ni wew tu unakifikiri, anaweza kufikiri mwingine.
Bubbles +Mapovu ruksa as i know.