[emoji120] [emoji120] [emoji120]Inna, Wengne waje tuwaone
Mrs pampula herself, respect ma. Juzi mmenichekesha na espy na wimbo wenu "huyo ni chaguo lako" hahaha
Yes madame, mi unajuaga vile nakupenda asante kwa kunikubalipo
Perfect combo
We ni ke au me?naomba tulile wote ila mie nitangulie kabla yako.
Mimi sio sistaduu ila ni mwanamke mmoja matata sanaKapeace, huyu bila shaka atakuwa bonge la SISTER du, namtamani kinoma
Kwahiyo huyo ulimtagi ni me?Povu... Aliyekwambia ID zote za kike ni za wanawake nani??
Cc : Husna The Boss Lady
Siongezi neno bebi.
Teh yani huwa wana machale hao. Kuna shoga ake mama naye siku hiyo kapewa dawa akamvizia mumewe kwenye kilaji, wacha pampula acheke, kamwambia hii bia sinywi mke wangu.ahhaha mbona mrs pampula !hahahah ! p[ampula hajaleta tyena kilaji hom aisee !nimeshaandaa dawa yangu namsubiri tu kwenye 18 !ili xmas twende sawaaaaaaaa!hahah ule wimbo unakera mno
Teh yani huwa wana machale hao. Kuna shoga ake mama naye siku hiyo kapewa dawa akamvizia mumewe kwenye kilaji, wacha pampula acheke, kamwambia hii bia sinywi mke wangu.
[emoji8]Mimi sio sistaduu ila ni mwanamke mmoja matata sana