mind ur bussness
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,050
- 741
Ahhaa we unafaa kuishi kanda maalumu ya mara so kama uko dar,Mkong'oto wa maana
Thank you so much [emoji123]Ahhaa we unafaa kuishi kanda maalumu ya mara so kama uko dar,
Fanya mpango nikupeleke huko kwetu kwetu coz uwezo unao, nguvu unazo na nia pia unayo.
A strongest woman is the one who is able to stand alone in regardless of what will or shall happen leter on.
Feel gud never be upset any more.
TehAsante tutajitahidi kuwa tunachagua vipicha vizuri vizuri
Shunie
Shunie, kapeace, beef la sag..
Shunie
[emoji4][emoji4][emoji4] acha utani mkuuShunie mimi hoi jaman ,nakuzimia sana mrembo ,nikiona tu comment yako hasa ya mapenzi huwa nairudia mara 7*7 utadhani nineandikiwa mimi
nilitakaga niende PM lakin nkaskia et kaolewa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] sema kweli wee...!!!Haaah huna habari...ndio hivyo dear..ID ziliunganishwa kumbe alikuwa ni Dume
Love you mamii.
NASEMA UKWELI KABISA SIDANGANYI DEAR[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] sema kweli wee...!!!
Duu mlimshitukiaje sasa?!NASEMA UKWELI KABISA SIDANGANYI DEAR
Acha utani, na mapicha mengi mengi vile?Haaah huna habari...ndio hivyo dear..ID ziliunganishwa kumbe alikuwa ni Dume
Ni ukweli mkuu... HusnaTheBossLady ikawa ERICK OTIENOAcha utani, na mapicha mengi mengi vile?
Hiyo id ya kiume ndiyo ipi
Kwenye ile ID aliyokuwa anatumia ilibadilishwa (iliunganishwa) kutoka HusnaTheBossLady hadi Erick Otieno.... Wewe search tu utaonaDuu mlimshitukiaje sasa?!
Duuuu...!! Hiyo Kali aseeNi ukweli mkuu... HusnaTheBossLady ikawa ERICK OTIENO
OK asante kwa ufafanuziKwenye ile ID aliyokuwa anatumia ilibadilishwa (iliunganishwa) kutoka HusnaTheBossLady hadi Erick Otieno.... Wewe search tu utaona
ndio hivyo dearDuuuu...!! Hiyo Kali asee
Poa poa karibuOK asante kwa ufafanuzi