et yani kama mimi nipagawishwe na wewe et? aiseee Huu ni uchizi wakujitakiaHivi, mnakua mnapenda jina la mtu, picha ya mtu au uandishi wa mtu??
Maana nikiangalia hapa wote wanatumia fake fake fake.
Hapo chacha na kwa mimi kweli sikushauri maana unaweza kukutana na mengine ukashindwa hata kusimulia.... lolet yani kama mimi nipagawishwe na wewe et? aiseee Huu ni uchizi wakujitakia
[emoji7][emoji7]
Kanitema. Anasema simjali wakati mimi nampenda balaa. Basi nimeamua nimwache aende..
weekend yako inaendaje huko white.....[emoji7][emoji7]
Iko poa sana Pm situmiagi kabisaweekend yako inaendaje huko white.....
Afu PM yako umeifunga.....
Thank you boss
kwanini umeamua kuifunga boss...Iko poa sana Pm situmiagi kabisa
your always welcome boss....Thank you boss
[emoji120] [emoji120]your always welcome boss....
Ni uamuzi tu toka nimeingia jf nilikaa kidogo nikaamua kuifunga sitaitumia tenakwanini umeamua kuifunga boss...
Sawa white nimekuelewa vyema.....Ni uamuzi tu toka nimeingia jf nilikaa kidogo nikaamua kuifunga sitaitumia tena
Nime Ku missNambie binamu..
mfute PM mkuuNime Ku miss