Unataka kuniona?Sawa white nimekuelewa vyema.....
Nitakuona vipi πππ
NjooNime Ku miss
Nani atakataa hiyo bahati boss......Unataka kuniona?
NakujaNjoo
Asante kwa mimi kunifanya niwe pagawo lako mkuuKapeace ananipagawisha ila kama avator ni yake
Nawaza tu nilivyo si utanikimbia jamanNani atakataa hiyo bahati boss......
Hivyo hivyo inatosha mkuu..... naheshimu sana michango yako humu ndani ndio maana nimependa tu kukutana na wewe....Nawaza tu nilivyo si utanikimbia jaman
Ahahhaha yaan ww nimecheka sana nitakutafuta usijal tutaonanaHivyo hivyo inatosha mkuu..... naheshimu sana michango yako humu ndani ndio maana nimependa tu kukutana na wewe....
Mimi mwenyewe wa kawaida sana.....
Ufanye kweli white.... nitafurahim sana kama kawaida siku ukiwa free just let me know.... ili tupate a cup of coffee pamojaππAhahhaha yaan ww nimecheka sana nitakutafuta usijal tutaonana
DuuhId ninayoipenda mwenyewe hanipendi[emoji21][emoji21]
Za jumapili ShunieNawaza tu nilivyo si utanikimbia jaman