Wekea maneno picha hii

masharubu

Senior Member
Joined
May 5, 2010
Posts
155
Reaction score
10
Wajameni hembu wekeni maneno picha hii, kwa hawa bwana wakubwa mbele na hao wanaoshangaa nyuma yao kama vile wanasema.......

 
Mramba: Huyu jamaa kanifikisha mahakamani wakati nayeye alikwepua! teh teh eh teh,


Kikwete: Huyu mzee sijui nimchomoaje kwenye ile kesi, teh teh teh
 
Mramba: Kamanda, waambie jamaa watupilie mbali kile kikesi, napoteza muda bana!
Kikwete:Ngoja uchaguzi uishe, nikiwaamrisha sasa hivi watanimwaga kwenye uchaguzi!...si unajua wabongo!!
 
Mramba: unanidhalilisha sana na ile kesi, mbona tupo wengi ukaamua kunitosa mimi tu??

Jk: tulia mzee, ile kesi ni ya kuzugia tu ili watanzania waone nachapa kazi, baada ya uchaguzi nakutoa, nimekuchagua wewe kama
kafara maana haukuwa mwanamtandao kipindi kile...
 
Peleka mahakani, huyu aliifisadi nchi kwenye Alex Stewart contract............ Kwenye kampeni, Mramba ni panga la zamani lisiloisha makali....... Mwaka huu kazi ipo. CCM ufisadi kwenda mbele hakuna maadili tena hapa.
 
hiyo ni ze comedy ya CCM, na hao ni joti na wakuvanga, Mpoki ndio Jaji na masanja mwendesha mashtaka.
 
Mramba: Dah we kiboko kwa zengwe skufikiria kama wewe najua kiti nakipata!!!!
JK:hee! mana nisingezuga kukupeleka mahakamani jamaa wangeongelea kesi yako kwenye kampeni ya jimbo lako na ungekosa, kwaio now hawawezi kuongea mana kesi iko mahakamani ila ukikipata tu kiti naongea nao wanafuta kesi kwa kukosa ushaidi uliokamilika, sawa?? mwambie Yona na Chenge ivo ivo....vijisenti tu wanavishikia baaaaangooo.......tehe tehe tehe
 
we bwanashamba nenda shambani kalime maana hujui hata kinachoendela huku
Salha ushakuwa mkorofi hata huku kwenye uchaguzi?!! nimekuzoea kule kwenye mambo yetu yaleee!! UBWECHE!
 
Mbona sioni picha yoyote wajameni, nyie mnaionea wapi
 
JK: hatujaonana toka ulivyoenda kwa pilato. Kafriji bado kapo ati

Mramba: mkuu usipime, kule noma, anyway, kwa hii promo ya leo nashukuru nyota itang'ara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…