kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Wakulungwa niaje?
Najua baada ya kuhangaika wiki nzima, pengine leo utakua sehemu fulani uki relax kupoza uchungu wa maisha kwenye ardhi ya ku tanga na nyika.
Kwa mliopo Dar maeneo ya Sinza, DM zihusike basi, nitakuepo hapa then baadaye Mbezi.
Onyo: Unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.
The irreplaceable