Wekeend tuwaachie watumishi

Wekeend tuwaachie watumishi

Mko good?

Hivi mtu kabisa unatoka leo unasema unaenda club au bar unasema ni wekeend sio sawa?

Wekeend kwa kawaida ina anzia juma tatu mpaka alhamis ijumaa tuwaachie watumishi ni zamu yao!
Vijana wa hovyo kabisa.

Hapa ndipo nnapomkumbuka magufuli sababu hadi vibanda vya pool table vilifunga watu wapige kazi.

Nliona clip fln madogo wa kiume (probably mabwabwa sababu wamejipodoa kama dada zao) walikua wanajisifia eti "Hatuna kazi lkn tunakula bata wiki nzimq" sasa kama hawapakuliwi ni nini?
 
Usidanganyike ivyo wapo vijana ambao wanapata pesa kwa wazazi wao na wengine wanaiba
 
Back
Top Bottom