TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 1,079
- 1,376
Research gate sio journal ya kupublish scientific papers, pia sio lazima supervisor apitishe ndio uweze ku submit paper yako kwenye journal kwa ajili ya process za publication. Kama unahitaji kujifunza kuhusu namna ya kuandika academic papers and publications karibu sanaMimi mwenyewe nipo nafanya Research but hakuna ,Research ambazo watu wame publish ,ina niwia vigumu hasa Literature review lakini napambana sana ...super visor akiipitiaha nitai publish hapa na kwenye Research gate kwenye website