K Kessy Hamisi Member Joined Jun 25, 2012 Posts 24 Reaction score 8 Jul 6, 2012 #1 Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa mti unaozaa machungwa unaitwa mchungwa na mti unaozaa maembe unaitwa mwembe(muembe) lakini mti unaozaa ndizi unaitwa mgomba kwa sababu ukipanda ndizi hautaota mgomba je hii ni sahihi?
Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa mti unaozaa machungwa unaitwa mchungwa na mti unaozaa maembe unaitwa mwembe(muembe) lakini mti unaozaa ndizi unaitwa mgomba kwa sababu ukipanda ndizi hautaota mgomba je hii ni sahihi?