Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
Pale kituo cha mwendokasi cha Fire kuna wagonjwa wanaoenda Hospital ya Muhimbili wanasubiri mabasi ya muhimbili, sasa natoa wito kwa serikali kuongeza viti vya kutosha kwenye kituo ili wagonjwa waweze kukaa na kusubir magari.
Kama tunavyojua magari yanachelewa kufika na mgonjwa hawezi kusimama robo saa kusubiri gari.
Kama tunavyojua magari yanachelewa kufika na mgonjwa hawezi kusimama robo saa kusubiri gari.