CHUO CHA UFUNDI JITA
Senior Member
- Feb 8, 2013
- 116
- 23
Habari zenu wakuu;
Katika harakati zetu za kuinua vipaji mbalimbali tumekutana na kipaji cha mtu anayeandika vitabu mbalimbali na kwa kiasi kikubwa vimekubalika katika jamii ila changamoto ni kama ifuatavyo;
> wanahitajika sponsors wa kufadhili kazi.
> Anahitajika Publisher.
> Wanahitajika distributors popote Tanzania na nje ya nchi.
KUHUSU KITABU HIKI
Kutokana na lugha ya kiingereza kuonekana kuwa ngumu kwa watanzania walio wengi licha ya kuwa ndiyo lugha ya mawasilano katika maeneo mengi hapa nchini, nimegundua kuwa "yawezekana kitu kigumu kikawa kimetumika kuelezea kitu kigumu" Ili kila mtu ajue misingi ya kiingereza, kitabu hiki kinaelezea kwa lugha yako ili kukurahisishia uweze kuelewa na kugundua siri ya lugha hii ambayo haikwepeki. KUHUSU KITABU HIKI
Haijalishi umepita wapi, angalia ulikofika na unakoelekea, siku zote usiangalie vikwazo bali angalia njia za kutoa vikwazo hivyo. Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na milima, mito na majangwa, mvua na jua… usitegemee kuishi maisha ya raha kama hujafanya maandalizi mapema. Kitabu hiki kinakupa mwongozo wa jinsi ya kujiandaa kuishi maisha unayoyatamani baada ya mahangaiko mengi. Kisome kwa makini ujue siri nyingi ulizonazo na hukujua kama unazo. KUHUSU KITABU HIKI
Mshukuru Mungu kwa jinsi ulivyoumbwa kwani si kwa bahati mbaya bali Mwenyezi Mungu ana mpango na wewe na kuna uwezo wa kipekee aliokupatia japo hutaki kuujua. Wengi tumekuwa tukimlaumu Mwenyezi Mungu kuwa ametuumba tukiwa maskini na kusahau kuwa alituumba kwa mfano wake. Je, yeye ni maskini? Kitabu hiki kinaelezea kwa kina mtazamo wa Mungu juu ya umaskini. Wengi tumekuwa tukisema waafrika ni maskini, Je, umaskini wetu ni laana? Soma kitabu hiki kikupe majibu yote na njia za kuweza kupigana na umaskini wetu uliokithiri. KUHUSU KITABU HIKI Kutokana na lugha ya kiingereza kuonekana kuwa ngumu kwa watanzania walio wengi licha ya kuwa ndiyo lugha ya mawasilano katika maeneo mengi hapa nchini, nimegundua kuwa "yawezekana kitu kigumu kikawa kimetumika kuelezea kitu kigumu" Ili kila mtu ajue misingi ya kiingereza, kitabu hiki kinaelezea kwa lugha yako ili kukurahisishia uweze kuelewa na kugundua siri ya lugha hii ambayo haikwepeki.
Kama umependa kufadhili kitabu chochote hapo juu au kusaidia kwa namna moja au nyingine, fanya mawasiliano kwa kutumia mawasiliano ya hapo chini.
Piakama una kazi yoyote ya uandishi kama maandalizi ya uchaguzi mkuu na kampeni au shughuli yoyote ya kimaandishi hasa vitabu, fanya mawasiliano kwa namba;
+255 752 698 691 au +255 658 698 691
jaymuta@gmail.com